Akizungumza na papaso la burudani SAM FLAVOUR ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘NJOO UJIONEE’ alisema yeye na uongozi wake wana mipango endelevu na managementi yao zima
‘’Mipango yangu ya kuachia video ya NJOO UJIONEE’ ni kuweka mkakati wa kufanya kazi kwa wingi kwa sababu kila msanii anafanya vizuri kwa kuachia video nzuri na audio pia napenda kumshukuru sana Mungu kwa mafanikio makubwa .
Mbali na swala la muziki pia anachukua masomo ya uandishi wa habari katika chuo cha habari (TSJ) ambapo ,masomo hayo haya mnyimi kabisa kufanya kazi yake ya kimuziki ambayo inamuingizia kipato ambacho kinamsaidia katika ulipaji ada.
Thursday, June 1, 2017
SAM FLAVIOUR KUACHIA NJOO ‘UJIONEE’
MSANII chipukizi kizazi kipya SAMWELI MWAILONDA a.k.a SAM FLAVOUR amesema kuwa hivi karibuni sasa ameeleza nguvu nyingi kwa kutoa nyimbo yake mpya ‘’ NJOO UJIONEE’’ambayo imempa mafanikio makubwa na kuomba sapoti kubwa kwa mashabiki wake
Akizungumza na papaso la burudani SAM FLAVOUR ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘NJOO UJIONEE’ alisema yeye na uongozi wake wana mipango endelevu na managementi yao zima
‘’Mipango yangu ya kuachia video ya NJOO UJIONEE’ ni kuweka mkakati wa kufanya kazi kwa wingi kwa sababu kila msanii anafanya vizuri kwa kuachia video nzuri na audio pia napenda kumshukuru sana Mungu kwa mafanikio makubwa .
Mbali na swala la muziki pia anachukua masomo ya uandishi wa habari katika chuo cha habari (TSJ) ambapo ,masomo hayo haya mnyimi kabisa kufanya kazi yake ya kimuziki ambayo inamuingizia kipato ambacho kinamsaidia katika ulipaji ada.
Akizungumza na papaso la burudani SAM FLAVOUR ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘NJOO UJIONEE’ alisema yeye na uongozi wake wana mipango endelevu na managementi yao zima
‘’Mipango yangu ya kuachia video ya NJOO UJIONEE’ ni kuweka mkakati wa kufanya kazi kwa wingi kwa sababu kila msanii anafanya vizuri kwa kuachia video nzuri na audio pia napenda kumshukuru sana Mungu kwa mafanikio makubwa .
Mbali na swala la muziki pia anachukua masomo ya uandishi wa habari katika chuo cha habari (TSJ) ambapo ,masomo hayo haya mnyimi kabisa kufanya kazi yake ya kimuziki ambayo inamuingizia kipato ambacho kinamsaidia katika ulipaji ada.
Kagera yafurahia pointi zao
THOMAS NG’ITU
WACHEZAJI wa timu ya Kagera Sugar wamefurahia kurudi kwa pointi zao ambazo walinyang’anywa na kamati ya masaa 72 baada ya kupewa tuhuma za kumchezesha mchezaji Mohammed Fakhi ambaye alisadikiwa kuwa ana kadi tatu za njano.
Akizungumza na Gazeti hili nahodha wa kikosi hicho George Kavila alisema kuwa wanafuraha kwa kurudi kwa pointi zao kwani ziliwafanya kuwachanganya kwa namna moja ama nyingine kisaikolojia lakini tulijiweka vizuri.
“Unajua katika sakata lile lilituumiz akwa namna moja ama nyingine kisaikolojia lakini viongozi wetu walizungumza na sisi katika suala hili na kukaa nao chini na kututengeneza kisaikolojia mpaka kufikia hivi sasa na kurudi kwa pointi hizi kumetuongezea ujasiri mkubwa katika kugombea nafasi za juu zaidi ya hapa”, alisema.
Naye straika wa timu hiyo Mbaraka Yusuph alisema kuwa Bodi ya Ligi inabidi iwe macho zaidi katika kufatilia ligi na makamisaa ambao wanakuwa wanatumwa wanabidi wawe makini katika kuandika ripoti zao sahihi.
“Vitu kama hivi vinaweza kabisa kuhepukika kwasababu kama bodi ya ligi wakiwa makini kuanzia makamisaa na marefa wao kivyovyote vile matatizo kama haya ni ngumu kutokea kwahiyo bodi ya ligi wanatakiwa wewe makini matatizo kama haya yasijirudie tena”, alisema.
Friday, March 17, 2017
HUNI JUNI
jjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj
Subscribe to:
Posts (Atom)